Ferguson akiri kwamba hakuna wa kulingana na Barcelona kwa sasa!!

Ferguson akiri kwamba hakuna wa kulingana na Barcelona kwa sasa!!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,345
Reaction score
10,885
Kwa hili vyema sana SAF. Kwani huu ndio mtazamo wa mtu anajua na kufahamu soka vilivyo. SAF amekiri hayo wakati wa mahajiano katika kuelekea kutangazwa kwa washindi mbalimbali wa tuzo za soka kwa mwaka 2011. Ebu soma haya maneno:

He said: “Sometimes in football, you have to hold your hands up and say, ‘Yeah, they’re better than us’. And this Barcelona team at the moment are by far the best. It’s not a crime and it’s not a weakness to say that, and it doesn’t detract from my belief in my own team. It’s just plain facts that Barcelona, especially with players like Messi in their team, are extraordinary. I can’t see anyone taking the (Champions League) trophy off them this year.”

Huu ndio uungwana katika soka.

FIFA.com - Respect reigns among male hopefuls
 
kusemaukweli mimi sio shabiki wa barcelona ila nafurahi nikiona hawa jamaa wanavyopiga gozi yaani nasuuzika roho yangu
 
Kiboko yao ni Liverpool Football Club hata tukiwa wabovu kiasi gani timu za Spain wanatoga jasho hapo Anfled. You will never walk alone!!
 
Kiboko yao ni Liverpool Football Club hata tukiwa wabovu kiasi gani timu za Spain wanatoa jasho. You will never walk alone!!

hao liverpool watacheza na barca wapi? Last time kushiriki champions league sikumbuki!
 
hao liverpool watacheza na barca wapi? Last time kushiriki champions league sikumbuki!

Mkubwa! Lakini Anfield pale ndiyo yenye history ya kushiriki champions league kuzidi timu yeyote hapo England!
Na bila shaka msimu huu tutafanya vizuri.
 
Kwa hili vyema sana SAF. Kwani huu ndio mtazamo wa mtu anajua na kufahamu soka vilivyo. SAF amekiri hayo wakati wa mahajiano katika kuelekea kutangazwa kwa washindi mbalimbali wa tuzo za soka kwa mwaka 2011. Ebu soma haya maneno:

He said: "Sometimes in football, you have to hold your hands up and say, ‘Yeah, they're better than us'. And this Barcelona team at the moment are by far the best. It's not a crime and it's not a weakness to say that, and it doesn't detract from my belief in my own team. It's just plain facts that Barcelona, especially with players like Messi in their team, are extraordinary. I can't see anyone taking the (Champions League) trophy off them this year."

Huu ndio uungwana katika soka.

FIFA.com - Respect reigns among male hopefuls

Its true sir alex, mimi mwenyewe binafsi kutoka moyoni barcelona siwapendi but kiukweli najua jamaa wanapiga mpira sio wa kitoto, to be honest sijawai kuona timu inacheza entartaining football like them, japokuwa siwapendi but I like the way they passing each other like playstation games, imagine yule xavi alipiga 98 parcent pass complete kwenye game against madrid ya 5-0,

I wish to see man utd playing like them next season, barca they are so good, u smile when ur watching them, even my garlfnd and my mom they didn't love football but they are watching barca while smiling the way they dominate possesion,

To be honest siwapendi na sitaki wachukue uefa lakini sijaona team ya kuwazuia barca zaidi ya kubahatisha, but kimpira they are at they are own level,
 
Babu kawa mkweli na mtu mkeli siku zote ndo anatakiwa Big up babu
 
Kiboko yao ni Liverpool Football Club hata tukiwa wabovu kiasi gani timu za Spain wanatoga jasho hapo Anfled. You will never walk alone!!

Mkuu timu hizi zimekutana mara chache, na matokeo ya karibu kabisa ni pale LFC alipomfunga Barca 2-1 pale Camp Nou kabla ya wao LFC kufungwa 1-0 pale Anfield na matokeo ya nyuma kidogo ya hapo ni ule ushindi wa 3-0 iliyoupata Barca ANFIELD huku goli ya 3 la Ovamars likiwa limefungwa baada ya kupigwa takriban pasi 50(fifty). Na waliporudiana Camp Nou ikawa 1-1.
 
Back
Top Bottom