FERGUSON: Wanne tu walikuwa world class

FERGUSON: Wanne tu walikuwa world class

Fergie msengerema sana, yaani Becks sio world class? Rud Van Nisterooy sio world class? Jinga sana!
 
Sijui alitumia vigezo gani au kwake yeye WC anampimaje? Kwangu mimi kumuacha Nisterooy,Roy Keane,Beckham naona hajatenda haki kabisa,kesho Alhamis atakuwa na interview tena katika MUTV itakuwa vizuri hili swali likirudiwa au muongozaji amuulize tena kwanini hao wanne tu . Yote juu ya yote much respect kwake Sir Alex tunammiss sana kipindi hiki.
 
Manchester United wamepita zaidi ya World Class 15.

Rooney naye sio world class?
 
Ferguson anadai wachezaji woote aliowafundisha ni hawa wanne tu ndo world class
wengine wote kawaida sana including Beckham Keane na Rooney ..

kwake Cantona,Gigs Ronaldo na Scholes ndo walikuwa world class...

jamaa Beckham bado hampendi kabisa naona

Alex Ferguson: I only had “four world class players” Manchester United |

...ni kujiuliza fergusonameangalia criteria zipi ndugu mpk akatamka hivyo; hebu twende,beckham alikua anajua kupiga free kick tu nothing else,unaweza vipi kumuweka kundi moja na ronaldo anayefunga magoli ya kila namna, twende tena,roy keane zaidi ya ubabe hakuwa na kingine chochote, utaweza vp kumuweka kundi moja na scholes ambae licha ya kua anafunga mara mojamoja but pass zake zilikua km kisu kikali kwa adui,mkumbuke ile man utd mpk leo inatafuta mbadala wa scholes,giggs,wow exceptional talent.! nakumbuka goli aliwafunga arsenal kwny nusu final au final moja ya FA siikumbuki vzr, kawaulize tony adams, martin keown na david seaman watakwambia hbr ya giggs.
Fergie is completely right!
 
You can never be World class until you've proved yourself in the world stage. Giggs, Scholes, Cantona(I'm not certain) have never been anywhere other than in United's. Their International careers never left any mark. They're United class, not world class.

Cristiano is world class. Becks might be world class. But the rest, Old man please!
 
Sijui alitumia vigezo gani au kwake yeye WC anampimaje? Kwangu mimi kumuacha Nisterooy,Roy Keane,Beckham naona hajatenda haki kabisa,kesho Alhamis atakuwa na interview tena katika MUTV itakuwa vizuri hili swali likirudiwa au muongozaji amuulize tena kwanini hao wanne tu . Yote juu ya yote much respect kwake Sir Alex tunammiss sana kipindi hiki.

Mbona hujamtaja Howard We...sorry., kumbe hakuwa mchezaji. Kwema lakini?
 
Sijui alitumia vigezo gani au kwake yeye WC anampimaje? Kwangu mimi kumuacha Nisterooy,Roy Keane,Beckham naona hajatenda haki kabisa,kesho Alhamis atakuwa na interview tena katika MUTV itakuwa vizuri hili swali likirudiwa au muongozaji amuulize tena kwanini hao wanne tu . Yote juu ya yote much respect kwake Sir Alex tunammiss sana kipindi hiki.

Ningeshangaa kama usinge andika hivyo.

Babu angemtaja Keane na Becks ningeshangaa
 
Yaani Dwight Yorke sio wc,jaap stam sio wc Rio Ferdinand sio wc ,nemanja matic sio wc ,Wayne Rooney sio wc ,

Hahahahah.gaffer anazeeka vibaya sana.

Hao aliowataja ni maswahiba wake na ni kwamba walikuwa wanamtii sana kama mfalme ila sio vinginevyo
 
nemanja vidic
 
Maisha bila unafki hayaendi, yaani hata Evra hayupo, maana jamaa alikuwa consistency kwa muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom