FERGUSON: Wanne tu walikuwa world class

Kwa kubisha tu wabongo n noma,hatujui fergie katumia vgezo gan tunabisha tuuu....
 
Maisha bila unafki hayaendi, yaani hata Evra hayupo, maana jamaa alikuwa consistency kwa muda mrefu sana.

Anaitwa SIR Alex Ferguson,huo ni mtizamo wake kama Kocha anayeheshimika duniani.Nawe kama Shabiki unayeheshimika una uhuru wa kuongeza wako
 
Mie namkubali sana Fergie.. mpaka anaongea hayo yeye anajua. Mchezaji WC siyo tu kwa yale anayoyafanya ndani ya uwanja. WC ni zaidi ya hayo.
Ila kiukweli atakuwa kawakera wengine maana wataona kumbe wakati nacheza pale Fergie alituona hakuna lolote.. but wangemfanyia interview aweke sawa hilo.
Nakumbuka kuna kipindi wakati Fergie amekomaa kumuuza Tevez mashabiki wengi wa Man U walikuwa wanamlaumu sana na babu alikuwa kimya mwanzo mwisho kumbe babu alikuwa na yake maana. Baada ya kuuzwa Tevez kwenda Man City ndipo tulipogundua Babu alikuwa na maana gani coz Mancini alishindwa kabisa hadi anakosana live na Tevez.. nakumbuka kuna mechi moja City walicheza na R.Madrid kama sikosei wamekula goli na Mancini anamuingiza Tevez akagoma kabisa kwa ujeuri wake.
Babu yeye anajua ila cha kushangaza hata goalkeeper mmoja hajamtaja
 

SAF amefundisha WC players wengi sana hao aliowataja hapo wengi walikuwa ni vijana wake watiifu na walimsaidia sana kwenye career yake, wengine kukosana nao kumefanya wasiwe kwenye hiyo list .Kwa mtazamo wangu Scheimichel,Van de Sar,Rio,Vidic,Stam,Robson,Tevez,Nistelrooy,Keane hawa wote walikuwa world class players
 
Rio Ferdinand

WORLD CLASS;

What equates to being world class??

Sir Alex Ferguson named 4 players from his time at MUFC as being 'world class' (where was mine among a few other names boss!!)

How does he judge a player to be world class?
Performing in the big games
Consistency
A high level of ability in all areas of the game
Great goalscorer
Great saves
Great tackler
Influential leader

Match winning contributor
That list could go on and on with many different areas to judge upon!
There is no common rule that serves up the criteria.
It's a great debate to have amongst friends - we've all done it!

Ronaldo, Pele, Maradona, Cruyff, Messi, Cristiano Ronaldo are all obviously world class players from different eras. They dominated games, leagues, tournaments with their skill, desire, goals & ruthlessness many a time....The one thing the guys all had was that no matter what situation they were in they found a way....to score, to drag their team forward, to prove their worth even when considered the best.

Above are some of the traits that a player needs to be considered world class...so what does a midfielder, a defender or a keeper need to be considered....
Can a midfielder run games consistently, can they score important goals, assists,carry the team, control games,be responsible, do they have the personality to take the ball in any situation at any time....
Can a defender dominate all types of strikers, can he influence others to perform better, are they vocal, a leader, do they have consistency, perform in big games, are they brave, can they play/pass...
Can a keeper make game changing saves, are they consistent, are they leaders, personality...
These are some of the things you would have to consider when calling someone world class.

Do you have to have performed well at major tournaments internationally-as well as for your clubs?

What about a player like David Beckham....the best crosser of a ball I have ever seen or played with but dribbling & beating players were not part of his make up - does that rule him out of the world class debate??
Pirlo, a phenomenal passer of the ball, dictator of games but not a great tackler – so is he not a contender??

Do you have to be one of the best paid players in the world?-
Samuel Eto'o held that title whilst in Russia, was he??



But more seriously, I do believe that a world class player must be someone who could walk into any team in the world & improve them. Of course the Ronaldos, Peles, Maradonas, Cruyffs, Messis & Cristiano Ronaldos would all do that no problem...



Ronaldinho was undoubtedly the best player in the world for a couple of years; the same would be said of Zidane, but no one before Messi & Cristiano Ronaldo has year in year out for the length of time they have (7 to 8 years) been THE BEST...does that make them the greatest?

Anyway, the debate goes on...

Who is WORLD CLASS ?!?!?!
What is WORLD CLASS!?!?!?!
 
I couldn't agree more with what Rio said. Since Hakuna vigezo maalum vya kuamua nani ni world class player na nani sio kila mtu anahaki ya kuamua nani ni best player kwake na akawa sawa

Kwa miaka mingi players wanaopewa title ya kuwa best ni strikers na Kidogo mids ila defenders na makipa wamekuwa wakisahaulika sana so sio ajabu Fergie kuwataja strikers na mid mmoja Scholes kama best players kwake
 
Watu wengi sana utaona wanalalamika Rooney na Bekham kuachwa
Lakinj ukweli ni mwamba uingereza wamewa overrate hao jamaa kwakuwa ndio walikua wachezaji bora kwao kwa bipindi vyao

Bekham kweli alikua mtaalamu wa free kick lakini hana cha ziada ambacho unaweza kumuweka kama wc na ni kama ilivyo kwa Rooney, yaani hivi sasa eti Rooney ndio nembo ya uingereza kisoka, unaweza kumuweka kundi moja na Rinaldo au Messi kweli?

Roy keene ndio kabisa zaidi ya kuwa captain mbabe alioongiza timu kufanya vizuri lakini haiingii kabisa kwenye group a wc player
Mtazamo wangu tu lakini
 

scholes was not a WC? real????


"I'm saddened because I think we as
spectators, not only in this country but right
through out Europe and the rest of the World,
will be missing one hell of a footballer."
- Ray Wilkins

"Scholes is undoubtedly the best midfielder of
his generation."
- Zinedine Zidane

"I can't understand why Scholes has never
won the player of the year award. He should
have won it long ago. Maybe it's because he
doesn't seek the limelight like some of the
other 'stars'."
- Thierry Henry

"Every one of us (midfielders) is just trying to
become as good as him. Everyone can learn
from Paul Scholes."
- Edgar Davids

"I'm more an admirer of Paul Scholes than I
am of Ronaldo. Ronaldo is a fantastic player,
but he has 10 other great players around him
every week. Scholes is one of the most
complete footballers I've ever seen. His one-
touch play is phenomenal. Whenever I have
played against him, I never felt I could get
close to him."
- Eidur Gudjohnsen

"Scholes? Fantastic! Why isn’t he playing for
England? It is crazy. Only in England. Scholes
is a great, great player. So experienced and
still, for me, one of the best in the world in
midfield. Manchester United are lucky to have
him."
- Jose Mourinho

"In the last 15 to 20 years the best central
midfielder that I have seen - the most
complete - is Scholes. I have spoken with Xabi
Alonso about this many times. Scholes is a
spectacular player who has everything"
- Xavi

"I want to pass like him. Who taught him how
to do that?"
- Ronaldinho

At La Masia, his name was mentioned a lot.
He’s a teacher."
- Messi

"Nobody on this planet had a range of passing
like Paul Scholes. Training every day was a
pleasure just watching him. Unbelievable
career"
- Michael Owen
 

Leonel Messi is not a world class, the same to Andres Iniesta.

Where is the so called "world stage?"
 
SAF namuheshimu but ana tabia za kuweka vitu moyoni, kuna watu hajawataja kwakuwa anachuki binafsi kwao, Rooney, Keane na Becks wote ameshawahi kukwaruzana nao ila kwangu hao wote ni WC. Kama alivyocomment mmoja hapo juu mabeki na makipa huwa wanasahaulika, watu kama van der sir, Gary neville, etc ilipaswa wawe kwenye hilo kundi
 
Washabiki wa kibongo bana. Watu wasiojua lolote juu ya Manchester United wanamtukana na kumdhihaki mtu aliyeiletea Manchester United mafanikio duniani kuliko mtu mwingine. Isingekuwa kwa mtu kama Ferguson labda wengi wenu msingekuwa mnaishabikia na kuifuatilia hii timu. Leo mnamwita mjinga, mswazi ajabu sana. Ferguson anawajua hao(amefanyakazi/kuwafundisha) wachezaji zaidi yenu hiyo assessment yake itakuwa na uzito kuliko yenu. I have to believe and trust his assessments ingawaje sio Manchester united fan.
 

Umeongea ukweli mtupu mtani kunywa kinywaji kwa bill yangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…