[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka sana.Video queen ndio fela au...
Huu wimbo ni mkali sana na Ferooz amerudi kwa kasi ya ajabu, ahsante sana Ferooz. Inabidi umsikilize kwa makini sana nini anakisema maana katumia lugha ya picha.Duu mbn wimbo hat sijaulewa pipiii ndy nn hay ngoja nifany yngu
HahahahahaKazi anayo. Atafute wimbo mwingine
Anyoe nywele kwanzaKaka nimejifunza mie. Ukilikalia benchi wabaya utawajua!
Mshaurini azifanyie remix mkuu..atarudi fastMasikini "Jembe" langu,sijui kama litarudi kama lilivyokuwa hapa.
Video queen ndio fela au...
Huu wimbo ni mkali sana na Ferooz amerudi kwa kasi ya ajabu, ahsante sana Ferooz. Inabidi umsikilize kwa makini sana nini anakisema maana katumia lugha ya picha.
Anasema "gari langu lilinasa kwenye big G, mwaka huu sasa ni pii pii, nimejifunza kuwa ukikaa kwenye bench wabaya utawajua na wazuri utawajua".
Hayo maneno ya ni mazito sana kama unatafakari kwa kina. Alikuwa nje ya game kwa muda mrefu (alinasa kwenye big G) mwaka huu atafanya jitihada ili litoke na atatanua mjini kwa honi pii pii. Anasema nimejifunza kwa muda wote aliokaa benchi amefanikiwa kuwajua wazuri na wabaya wake.
Rudia tena kuusikiliza huu wimbo wa watu wazima, ameutendea haki umri wake kwa lugha inayorandana naye.
Ahsante Ferooz
hapa ndipo wanapomchukia zamunda, maana hawaelewi karudije yule mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka sana.
Huu wimbo ni mkali sana na Ferooz amerudi kwa kasi ya ajabu, ahsante sana Ferooz. Inabidi umsikilize kwa makini sana nini anakisema maana katumia lugha ya picha.
Anasema "gari langu lilinasa kwenye big G, mwaka huu sasa ni pii pii, nimejifunza kuwa ukikaa kwenye bench wabaya utawajua na wazuri utawajua".
Hayo maneno ya ni mazito sana kama unatafakari kwa kina. Alikuwa nje ya game kwa muda mrefu (alinasa kwenye big G) mwaka huu atafanya jitihada ili litoke na atatanua mjini kwa honi pii pii. Anasema nimejifunza kwa muda wote aliokaa benchi amefanikiwa kuwajua wazuri na wabaya wake.
Rudia tena kuusikiliza huu wimbo wa watu wazima, ameutendea haki umri wake kwa lugha inayorandana naye.
Ahsante Ferooz
Kaka nimejifunza mie. Ukilikalia benchi wabaya utawajua!