Ferooz: Nimejifunza

Haha msanii bongo ukisepa sepa moja kwa moja ukirud unaharibu
 
Safari njema-jay moe feat complex(rip) &dudubaya

Safari njema feruzi safari njema feruzi...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Starehe za dunia kweli zilimponza, badala ya kuharibikiwa na UKIMWI, kaharibikiwa na UNGA, so sad nyimbo nyingine ni kujitabiria mabaya mwenyewe..
 
Kila shetani na zama zake,imebaki story tu, nikikumbuka enzi hizo amezawadiwa Jeep na mkapa mda mwingi alikuwa anakuja UDSM kulamba watoto wakare ila sasa hadi huruma.
 
Kuna haja ya wanamuziki kujifunza njia mbadala za kujipatia kipato na si kutegemea mziki pekee
 
Ashapoteza huyo. Kwanza anatafutwa kakimbia na silver ya mdau Sinza. Watu wanampa ukweli ananuna.
 
Ashapoteza huyo. Kwanza anatafutwa kakimbia na silver ya mdau Sinza. Watu wanampa ukweli ananuna.
Hahaha! Kakimbia na Silva?!
Feruzi huyu huyu mzee wa Starehe?! Kweli maisha ni kurebembe!
 
komaa ferooz utarudi,bado haujapotea kwenye ramani ya bongo fleva kwanza mziki wenyewe hauleleweki huu watu wanatoka na nyimbo nai nai wanahit,komaa mwana kaza hapo ulipo sio pabaya
 
Hapa ingekuwa diamond ungeona hizo sifa anazopewa hapa ila kwa kuwa ni ferooz kashfa mtindo mmoja.
Bongo bado mziki sio ajira rasmi bado ni maisha ya kubahatisha tu,hata hao tunaosema wamefanikiwa nao bado hawana foundation nzuri endepo akianguka hana pakusimamia tena..!!hatuna wafanya biashara wa kazi za muziki,hatuna record label nzuri,hatuna maandalizi mazuri ya wasanii wanao chipukia,muziki wetu hauna direction yaani hatuna tune ya kitanzania kwamba ukiwa cameroon au SA ukisikia wimbo unajua huu ni wanyumbani bongo..!!Kwenye sanaa bado kunaujanja ujanja thats why i prefer Bongo HipHop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…