Ferooz: ''Sisi ni maarufu OG sio wa IG"

Ferooz: ''Sisi ni maarufu OG sio wa IG"

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
BURUDANI 'Sisi ni maarufu OG sio wa IG" - Ferooz

Hapo jana Hitmaker wa ngoma ya starehe Ferooz akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV amewachana wasanii wa sasa wasiosapoti kazi za wakongwe kwa kusema wao ndio wana umaarufu wa ukweli kuliko wasanii ambao wanaupata Instagram.

Ferooz amefunguka kusema kibongobongo tayari ameshamaliza na hata umaarufu wao ni Original 'Og' na sio umaarufu wa Instagram 'IG' na followers wa wasanii wa sasa ambao Insta ikifa nao wanakufa.

Ferooz anasema wasanii wa sasa wanavimba kusapoti kazi za baadhi ya wasanii wa zamani kwa sababu ya kibiashara na wanawahofia wakiwapa sapoti watakuwa wanawapa nafasi.
 
Maarufu OG -huna pesa,umesahaulika,kwa ufupi umepoteza kwenye sanaa.hivi professor J anaumaarufu wa IG eeee..safi.

Hao wenye umaarufu wa IG sasa-wana fweza,deals zipo,kwa sasa Ndo wakati wao kuwika.na wao wasipoendelea kukomaa wakapotea kwa hewa watakuja kuwalalamikia wasanii ambao kwa wakati huo watakuwa vileleni n probably hata ikaja kutokea App nyingine yenye Madhumuni kama ya IG so wanaweza pia kusingizia hiyo App.🤓inafikirisha eeee..

Angesema wasanii wa zamani angalau nyimbo zao zinaujumbe wallah nitagongelea 📌🔨
 
Kwa mjibu wa Ubongo wangu,
Itakuwa anatafuta njia ya kurudi kwenye game.
 
Back
Top Bottom