Ferouz arudi kivingine..

Ferouz arudi kivingine..

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned
 
Anapasha viboporo wenjie wanapakua mdaa umeshakwisha bora afanye mambo mengine kurinda heshima yake maana sasa hivi vijana damu moto
 
Daaa huyu jamaa anatia huruma sana.
Maisha yanabadilika.
Walijisahau sana na ule umaarufu wa miaka ya 2000.
Sasa kuna madogo wanasimamia kucha ni fire.
 
Mbona ngoma yenyewe hatuioni tuweze kuona kama kweli usemayo yapo
yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned
 
Back
Top Bottom