Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

When you fail to plan, you plan to fail.
 
Aiseee unataka kuniambia hata chid ana afadhali kuliko feruz
Ndio manake mkuu, kachoka kinoma!

Halafu Ferooz kaanza kula sembe zamani sana group lake hawapo sasa hivi, yy ana udongo mzurii...
 
Hii starehe ni kwa ajili ya wasanii tu sio..Mbona sioni ma Prof,ma Dr na wengine wakila hii kitu
 
Hii starehe ni kwa ajili ya wasanii tu sio..Mbona sioni ma Prof,ma Dr na wengine wakila hii kitu
Nenda Muhimbili Hospital [emoji541] kitengo cha akili kuna watu wa kila aina mpaka madaktari waliokuwa na matatizo ya ulevi wa kupindukia wapo na wenyewe wapo katika kundi ilo la akili
 
Ngoma inogile....wananunua kwa pusha kisha wanaenda Dago
 
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1483555344076.jpg
    65.1 KB · Views: 52
Hii starehe ni kwa ajili ya wasanii tu sio..Mbona sioni ma Prof,ma Dr na wengine wakila hii kitu
Tembea uone.

Wapo kibao ila wanazungumziwa wasanii kwa sababu ni watu mashuhuri kwenye jamii na wanajulikana kabla hawajaanza kunyonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…