Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Wakiulizwa wanaponunua hawataki kutaja, ina maana wanaogopa hawatauziwa tena? Sasa kama una nia ya dhati kabisa kuacha ni bora umtaje ili kesho asikuuzie tena
Hiyo kazi ya kuwahoji wanaponunua ilitakiwa ifanywe na vyombo vya ulinzi na usalama,ikibidi nguvu kubwa itumike hili jambo lingepungua kwa kiasi chake,lakini cha kushangaza akina makonda wako buzy na madada poa wanaojitafutia riziki kupitia bidhaa halali
 
Mwaka huu Raisi wa Philippines anatembelea Tanzania
Rodriguez Duterte
 
Many artist they dont work in their talk wanayoyaimba si ndiyo wanayoyafanya ......na bado tujifunze nni kama wanayoyaimba si ndiyo wayafanyayo na wakat msanii ni kioo cha jamiii duu
 
Yaani walionza kutumia madawa ya kulevya umeyaona mafanikio yao alafu na wewe unaingia kulele unatafuta nini?
 
Kila mtu sasa hivi anajua madhara ya unga,lkn jiulize kwanini watumiaji wanaongezeka? Me nahisi ni hujuma wanafanyiwa kama kuingiziwa kwenye vinywaji bila wao kujua
Niliwahi kwenda kwenye kampuni moja maarufu, nilichokiona nadhani ndicho huwa kinafanywa katika kupata watumiaji wapya wa unga. Ilikuwa hivi. Nilipoingia ndani ya kampuni, nikiwa naongea na niliyekwenda kuonana naye, mara alikuja mtu anagawa pipi ivory (bure). Cha kushangaza, niliyekuwa naongea naye alipomuona tu, alifurahi sana na kusema alikuwa anawaza sana namna atakavyopata pipi maana mletaji alichelewaa. Alimgawia pipi, nami akanipa moja. Kilichonifanya nitilie mashaka ni pale nilipogundua kupitia sentesi ya jamaa hapo juu kuwa pipi huletwa kila siku, halafu ni bure? Mtu hapa mjini awe anagawa pipi bure kila siku? Hapo ndipo niling'amua kuwa, ile haikuwa pipi ya kawaida, kupitia pipi hizo taratibu wafanyakazi wa ile kampuni wanaingizwa kwenye uraibu wa madawa, na wakishafikia stage ya kutojisikia vizuri wasipopata pipi, ndipo waanze kuuziwa, na hivyo mtu anajikuta amepokea mshahara lakini asilimia kubwa anainunulia madawa hapo hapo.
 
Dah noma sana, Mungu atulinde na kupenda kwetu dezo dezo
 
*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 

Jamani hata Rose Mhando!?
Imekuwaje hadi huyu dada akaingia kwenye hii tabia?
 
Kuna wakati nlicomnt humu kuhusu rose nliambulia shit maana kona nliyokuwa namkutaga zilikuwa syo powah kbisa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Inasikitisha. Nani alimfundisha? Hivi hana mume/ watoto.
Hawa madogo utasema umri, kampani, kuiga etc. Ila mtu kama Rose kuwa teja haiingii akilini kabisa! Maana hata disco haendi useme amejifunzia huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…