Ferry boats to start docking at JNIA?

Hata steshen za BRT watu mpaka waagize ferry
 

Hiyo hapo evidence
 
Dar is the coastal city, this weather condition with this great rain falls to the city like Dar is not news

Look at US
 
Hii ni Nairobi baba watu wanakufa kutokana na floods.



 

Hiyo hapo evidence
Acha uongo hiyo siyo Julius Nyerere International Airport. Prove kama hiyo ni Tanzania.
Leta source ya uhakika tuone kama. Halafu aliye weka hiyo video ni Faishl memon.
 
Gerarahia men! "[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaharibu 'image'
Heri Nairobi kunaflood sehemu zingine lakini airport duuuu!😀😀😀
We both know who the old women are here, you bitch around on negativity about Kenya then when it hits you hard you play silly. Yeah they should relocate and join their calibre,loud mouths!
hehehe,young D moto kama pasi😀😀😀
Aiseeeh!
Kwakweli hii shithole kabisa
 
Hii ni Nairobi baba watu wanakufa kutokana na floods.

View attachment 768773

View attachment 768767
Yeah hapo Ni Nairobi. It flooded. Huu Ndio upuzi mlianzisha. You laugh and make jokes out of such things when they happen in Kenya, tukicheka on same issues huko kwenu, which by the way we never wanted to, mnasema tunaharibu jina ya Tz. The thing is, use this forum for the right purpose if you ever had any in the first place, I hear you are the owners, educate those who don't know, share job opportunities na mtasaidika, ujinga ya kujilinganisha na Kenya brings out the old women character one of you alluded to. Peace!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]shauri yako mkuu..
 
Twende kazi sasa na wajinga wa Nairobi.
 
tulia sindano ifanye kazi!

ona sasa zizi hilo la ngurwe linakuwa danger kwa wasafiri na viombo vya usafiri! hivi mtaweza kuilipa KQ hasara iliyopata??
isee hapa hadi ferry hakuna kuepuka!!







wavuti: Heavy rains, floods in Dar claims 10 lives
 
10 vs 100+
Hivi nyie wakenya akili zenu zinawatosha kweli?


Over 100 dead in Kenyan floods
 
Twende kazi sasa na wajinga wa Nairobi.
We already saw this, Tumeona hizi Kaka!! Kutokana na upuzi wenu wa kupost shit about Kenya, ila Huu uchafu wenu Leo utaanikwa hapa Kama machupi ya wasanii wenu wengine.
 
kama ni photoshop unataka useme! mimi nachotaka ni picha ya jkia kama imefurika. ukinipa hiyo, baaas natulia!
You know what brother, it's over. You don't need to engage them anymore. Waelimike. We all know where and who has the problem now
 

Wacha kulialia ukitafuta pakutokea, hapo ni nje maeneo ya kuegesha magari, ila umeletewa mapicha ya ndani kabisa ya hilo zizi lenu.
Hivyo kila ukileta taarifa mbaya za Kenya, uwe ukijua Tanzania ni mara kumi zaidi nyie watu wa LDC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…