CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Yes Ngamba unaweza ngoja nitacheki ila sio zaidi ya buku 20
Sawa tu ili mladi kama kuna jinsi ya kufikisha mwanza , maana huko ndo ninako andaa kufanyia mladi wangu na nafanys maadalizi ya kusafirisha parent stock ya kroiller, hii sijui nayo uko nayo???
Kwa anaye hitaji fertilized eggs za KARI basi tuwasiliane, Arusha na bei ni Tsh 30,000/ per trai na minimum ni Trai 5, ni fresh eggs za KARI F1.
Chasha Arusha-0767-691071/0783691072
Dorep je? Nataka fertilise eggs wawe parents.
Hao KARI ndio Quails (Kware)?
Kwa anaye hitaji fertilized eggs za KARI basi tuwasiliane, Arusha na bei ni Tsh 30,000/ per trai na minimum ni Trai 5, ni fresh eggs za KARI F1.
Chasha Arusha-0767-691071/0783691072