Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
- Thread starter
-
- #21
Kwani nimesema namtakaSasa utampa nini ikiwa ela ya kula unachangiwa na jf members?
Kwanza umekula?
Sasa kumbe huelewi hata ulichokindikaKwani nimesema namtaka
Kwa hiyo ukikaa karibu na Teevee na kumuona huyo "mamushka" unakuwa unambusu kwenye screen tu?Huyu presenter wa eatv kipindi cha 5 select Fevushka ananibamba sana kuanzia sura na appearance kwa ujumla(modo) ni aina ya sampuli ya wasichana wenye sifa zote zinazonivutia in short she is my crush.
Dedication song
Yule~Ay ft Marioo
NIMEFUNGA UZI
Analeta maneno badala ya kutangaza kibunda?Yap!!
😂😂aspokuwepo yy siangalii kipindiKwa hiyo ukikaa karibu na Teevee na kumuona huyo "mamushka" unakuwa unambusu kwenye screen tu?
Weka picha nipande mnazi kwa mkono mmojaMmh Hilo tako alitolee wapi? Ana kisura kizuri tu mtoto wa kiarusha na kihabesh kutoka Ethiopia huyo.
Jf bhana..Sasa utampa nini ikiwa ela ya kula unachangiwa na jf members?
Kwanza umekula?
Mwanaume anajitegaje?Nenda ukajitege Samaki samaki ya Mcity weekend utakutana nae
🤣🤣 Nadhani hata Mimi nitakuwa na macho ya kizee tuMbona mkakamavu kama ubao ,au ndio macho ya kizee.
Ndio ni mzuri lakini utakula kwa machoooSi haba.
Mzuri.
Wewe dogo vipi?Ndio ni mzuri lakini utakula kwa machooo
We binti una maneno!Ndio ni mzuri lakini utakula kwa machooo
Sizitaki mbichi hizii..! Akikupa utakataa?Wewe dogo vipi?
Kwani nilitaka kumla kwa nyama.
Si aina ya vitu vyangu.
🙄Najuana nae ndio maanaWe binti una maneno!
Kwa sababu ni mwiko kukataa, basi nitaichapa.Sizitaki mbichi hizii..! Akikupa utakataa?
Hovyooo