deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
According to BBC World News, imegundulika vaccine ya Malaria na imefanyiwa utafiki kwa panya na imegundulika kufanya kazi 100%. Wanaifanyia utafiti kama itawezekana kwa binadamu, wameanzia hapa Tanzania.
Tuombe hii itafanya tusahau kama kuna ugonjwa unaitwa malaria maana umewachukua ndugu, rafiki na jamaa zenu wengi.
R.I.P waliofariki kwa Ugonjwa wa Malaria
Tuombe hii itafanya tusahau kama kuna ugonjwa unaitwa malaria maana umewachukua ndugu, rafiki na jamaa zenu wengi.
R.I.P waliofariki kwa Ugonjwa wa Malaria