Few steps to Malaria Vaccine: Imejaribiwa kwenye panya ikafanya kazi

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
According to BBC World News, imegundulika vaccine ya Malaria na imefanyiwa utafiki kwa panya na imegundulika kufanya kazi 100%. Wanaifanyia utafiti kama itawezekana kwa binadamu, wameanzia hapa Tanzania.

Tuombe hii itafanya tusahau kama kuna ugonjwa unaitwa malaria maana umewachukua ndugu, rafiki na jamaa zenu wengi.

R.I.P waliofariki kwa Ugonjwa wa Malaria
 
Mkuu hizi story zipo siku sana kabla hata mchizi wangu joachim ajafikilia kuugua maleria mbayo badae iilikuja kumuua..rip dude.
 
Mkuu hizi story zipo siku nyingi sana usitegemee lolote hizi story zimekuwepo kabla hata mchizi wangu joachim ajafikilia kuugua maleria mbayo badae iilikuja kumuua..rip dude.
 
Unatbu malaria dengue inaibuka hatar sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…