joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwakweli nimetembelea na kuishi nchi kadhaa duniani, ila wakenya nimewadharau Sana, wakenya na wazaire wanafanana Sana.Kenya propaganda ndio nyingi..Eti hadi Newyork Times sijui Washington post wakamsifia huyu mwizi wa Covid
Kama anavyolindwa Macharia who is the most stupid Minister in the whole Africa.Kwavile Mkikuyu atalindwa na Uhuru!
Aliposifiwa humu, walipost na kufurahi, wao walifikiri mzungu akikusifu uko vizuri๐๐Kenya propaganda ndio nyingi..Eti hadi Newyork Times sijui Washington post wakamsifia huyu mwizi wa Covid
๐๐๐Wampee kazi tume ya uchaguzi.. maana anapenda kutaja taja namba
Hawa nyang'au sasa sioni wakitangaza yale matakwimu yao feki ya covid 19 ya kila siku.jamaa alikua anapika takwimu,utamsikia kuna watanzania 100 wamekutwa na corona,hapo ndipo alipoanza kujimaliza
laana itamtafuna mpaka kaburini
Watanzania hawaendi Kunyaland na infection inakimbilia 40,000. Amekosa sababu sasa!jamaa alikua anapika takwimu,utamsikia kuna watanzania 100 wamekutwa na corona,hapo ndipo alipoanza kujimaliza
laana itamtafuna mpaka kaburini
Kibera ni sehemu ndogo sana Nairobi..hebu nenda katazame..kwenye Google maps ujionee...Bajeti lazima iwe kubwa maana kuna wapiga dili wengi...ela yote inaishia mifukoni mwa wajanja huku kibera tunalia njaa kila kukichwa