H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 748 Reaction score 524 Apr 28, 2011 #1 Feza boys hainaga masifa na promo kihiiivyo ila mambo yao nima aisee...embu ichek kwenye results za form6 this year yaan ni noma
Feza boys hainaga masifa na promo kihiiivyo ila mambo yao nima aisee...embu ichek kwenye results za form6 this year yaan ni noma
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Apr 28, 2011 #2 ni kawaida yao kuwa ya kwanza kimkoa,kitaifa huwa 10 bora haikosi.pia feza girls ni wazuri sana!ada kwa sekondari karibu 4m per year
ni kawaida yao kuwa ya kwanza kimkoa,kitaifa huwa 10 bora haikosi.pia feza girls ni wazuri sana!ada kwa sekondari karibu 4m per year
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,786 Apr 28, 2011 #3 karibuni kibaha boys kwa elfu sabini tu 2naizungusha tanzania...
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 748 Reaction score 524 Apr 28, 2011 Thread starter #4 we wa wapi hata top 3 kibaha haipo...this year walikuwa na combi mbili tu lakini wap bado wamekimbizwa
we wa wapi hata top 3 kibaha haipo...this year walikuwa na combi mbili tu lakini wap bado wamekimbizwa
M makaomakuu Member Joined Nov 17, 2010 Posts 46 Reaction score 4 Apr 28, 2011 #5 Junior. Cux said: karibuni kibaha boys kwa elfu sabini tu 2naizungusha tanzania... Click to expand... Hivi siku hizi kibaha iliondoa ECA and CBA?
Junior. Cux said: karibuni kibaha boys kwa elfu sabini tu 2naizungusha tanzania... Click to expand... Hivi siku hizi kibaha iliondoa ECA and CBA?
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 748 Reaction score 524 Apr 28, 2011 Thread starter #6 hakukuwa na hizo comb kwa 7bu ya ile blanda ilo fanywa na yule babu yulee nn nn mmh mungai kufuta masomo ya biashara ssa hii batch ndo wako affected na hiyo
hakukuwa na hizo comb kwa 7bu ya ile blanda ilo fanywa na yule babu yulee nn nn mmh mungai kufuta masomo ya biashara ssa hii batch ndo wako affected na hiyo