tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Mbona hii shule haifanyi vizuri? Wale Waturuki bado wapo? Siku hizi ada kubwa na extra curricula kibao ila matokeo zero. Nasikia walimu wako shallow sana. Hadi wa O-level wanafundisha A-level. Enzi mamsapu akisoma pale shule ilikuwa moto sana. Uongozi wa sasa ni wa watanzania? Nasikia matokeo ya juzi imekaribia kuwa ya themanini. Usirogwe kupeleka mwanafunzi pale.