tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Tumuulize Madelu.Mbona hii shule haifanyi vizuri? Wale Waturuki bado wapo? Siku hizi ada kubwa na extra curricula kibao ila matokeo zero. Nasikia walimu wako shallow sana. Hadi wa O-level wanafundisha A-level. Enzi mamsapu akisoma pale shule ilikuwa moto sana. Uongozi wa sasa ni wa watanzania? Nasikia matokeo ya juzi imekaribia kuwa ya themanini. Usirogwe kupeleka mwanafunzi pale.
Labda wameamua kuwaunga mkono Taleban.Mbona hii shule haifanyi vizuri? Wale Waturuki bado wapo? Siku hizi ada kubwa na extra curricula kibao ila matokeo zero. Nasikia walimu wako shallow sana. Hadi wa O-level wanafundisha A-level. Enzi mamsapu akisoma pale shule ilikuwa moto sana. Uongozi wa sasa ni wa watanzania? Nasikia matokeo ya juzi imekaribia kuwa ya themanini. Usirogwe kupeleka mwanafunzi pale.
Nimefanya kazi hapo,hakujawahi kufanyika wizi wa mtihani but kulikua na administrators wazuri ila nowadays,Mambo so mambo wabongo wanashika hatamuSikuhizi hawaonyeshi mtihani ova!!