VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Tangu kuanzishwa kwake,Shule ya Wavulana ya Feza na ile aliyohitimu Mwanaasha(Feza Girls) zimekuwa zikifanya vizuri kwenye matokeo ya ima kidato cha nne au cha sita.Matokeo ya jana imekamata nafasi ya pili kitaifa ikiwa na Daraja la Kwanza la alama 3 lililowashinda Mzumbe,Ilboru,Tabora Boys na Kibaha(vipaji maalumu).Nini siri ya ushindi wa Feza Boys na 'Mwanaasha' Girls?
Kama zipi Mkuu?mimi nadhan ushindi wa feza unatokana na njia nzuri wanazozitumia katika ufundishaji
Kama zipi Mkuu?
tangu kuanzishwa kwake,shule ya wavulana ya feza na ile aliyohitimu mwanaasha(feza girls) zimekuwa zikifanya vizuri kwenye matokeo ya ima kidato cha nne au cha sita.matokeo ya jana imekamata nafasi ya pili kitaifa ikiwa na daraja la kwanza la alama 3 lililowashinda mzumbe,ilboru,tabora boys na kibaha(vipaji maalumu).nini siri ya ushindi wa feza boys na 'mwanaasha' girls?
Kama zipi Mkuu?
posho nzuri kwa waalimukumaliza sylabus katika wakat unaotakiwa na mitihani ya mara kwa mara, sio kama shule za goverment mitihan ni mid-term na terminal tu basi
hata idadi ya wanafunzi ktk shule husika nayo inabeba.Mimi nadhani necta nao walinganishe shule kutokana na uwiano wa idadi ya wanafunzi alafu tuone nani bora..Uwezi niambia wanafunzi 40 ukashindanisha na wanafunzi 300 yaani hapo hakuna uwiano kabisaa ingawa wote ni zaidi ya wanafunzi 30.Tangu kuanzishwa kwake,Shule ya Wavulana ya Feza na ile aliyohitimu Mwanaasha(Feza Girls) zimekuwa zikifanya vizuri kwenye matokeo ya ima kidato cha nne au cha sita.Matokeo ya jana imekamata nafasi ya pili kitaifa ikiwa na Daraja la Kwanza la alama 3 lililowashinda Mzumbe,Ilboru,Tabora Boys na Kibaha(vipaji maalumu).Nini siri ya ushindi wa Feza Boys na 'Mwanaasha' Girls?