Mshiriki wa big brother the chase week hii imekuwa mbaya kwake kwani ameingia kwenye danger zone,watanzania na wana afica mashariki inabidi tumpigie kura mwenzetu ili aweze kubakia mjengoni

Wewe Jinga sana, kuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kupigia kura mashindano hayo ya kishetani? tena atolewe haraka arudi nyumbani tumechoka kuaibishwa.