Feza Kessy

Huyu m malawi anabanduliwa sasa hivi
 
Huyu itabidi asituangushe kama yule mtangazaji aliyesukumiwa kitu na mshkaji wa uganda hadharani. Naona EATV walimpiga chini sijui?
 
macho ya huyu demu yanaonyesha kua yeye ni maharage ya mbeya. mia
 
tuwapigie wawakilishi wetu kura sio kulaumu tuuu pindi wakirudi mikono nyuma
 
go feza go feza ,,,yuko poa hope atafka mbal cz yuko real social haboi inshort,,,,,,,,,,,,,,4 kenyan y boss lady hudda awe nominated sana duuuuh noma kwel yan na sweta lake lile n la prezzo alkua nalo mwaka jama naona kampa na yeye coz alkua analpenda kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…