FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase


Feza anajitahidi kujiheshim i like that sio kale kachangu cha ghana.selly uuwiiiii km mlupo mara anamtaka nando mara kamkubalia sullu hata haeleweki
 
Ka betty kana matatizo kale....hizo ny...g sijui anazitoa wapi...nakachukia kila siku kina mnominate feza wetu....bolt mwenyewe hamuheshimu wala hampendi kihivyo

Fezza ndio alianza kwa mara ya kwanza kumnominate betty mwanzo kabisa, kibinadam betty alikuwa na haki kumtaja fezza ila ilizidi pale hata baada ya kulipa la mwanzo akaongezea kwa mara nyingine kumtaja fezza na nando kwa wakati mmoja. Hapa ndio nilipompuuza betty na kuona ni zaidi ya ubinadam kwani bado kumbe hayakuishia kwa yeye kumtaja fezza bali aliweka kinyingo na nchi nzima. Wiki hii betty anakaangwa na bolt.....ntafurahije
 
Yani nando mvivu sanaaaaaa.....kazi kukaa nakucheka cheka tu....ila najua week hii hatoki...sasa hapo kwa feza mmmh....I doubt kama anythin happened...nitatafuta hiyo clip

Motamma atoke tu kwanza kama mbibi mbibi kanyweaaaaa sijui anamiaka 40 yule atoke tu angalau awahi kuanua matanga ya babu yake.. Iws suprised ati alikua miss botswana lol..!! Uyo mshindi wa mwisho alikuwaje sasa
 

Ivi pale nani unadhani ni threat kwa Nando na Feza i mean mwenye mvuto
 
Ivi pale nani unadhani ni threat kwa Nando na Feza i mean mwenye mvuto

Melvin, Angelo, Sulu, Selly (kinyonga kuna siku mitaa zinasoma na kupotea ila ana washabiki sana), cleo, dilish, na Oneil.....kwa mawazo yangu
 
Melvin, Angelo, Sulu, Selly (kinyonga kuna siku mitaa zinasoma na kupotea ila ana washabiki sana), cleo, dilish, na Oneil.....kwa mawazo yangu

I thnk melvin namwona yuko matured yaan na nando wetu angekua vile no doubt dogo angechukua mpunga sema tatizo dogo pombeee mvivu ye akiskia store room is open bas nywele zote zinamsimama na cleo nae tishio sana cz sion wap anakosea yule binti bora hakeem apelekwe kule labda wata waonea wivu angalau.. Ivi yule natasha ni mimi tu simpend au? Limama linafiki lile sasa linataka lionewe uruma iweje wakat ule mchezo? Ningekua biggy ningelipa warning ile ni conspiracy
 

Cleo ni mjanja sana, yule hawezi kamatika kirahisi, Melvin pia...... Fezza wamemshabikia kwa Oneil kama jaanja ya kumkaanga, I tell you before alikuwa so innocent ila subiri sasa utaona na hizo move zao za kimahaba ndo utakuwa mwanzo wa shida.....

Hahaha Kuna binadamu katika maisha ya kawaida wako kama Natasha, kweli natasha anaboa sana, simpendi balaa nahisi anapoteza muda BBA, this week betty na bolt wasingeingia kwenye kaango basi Natasha angesepa.
 

Sindo hapo hata mimi nilimshangaa...this week anatoka bolt na motama japo polls zinaonyesha ni betty na bolt...kwasababu kumbuka botswana wako wawili na haiwezekani kura zao zikatosha kwa watu wawili...kama angola walivyotoka wote wawili...ila angetoka bolt na betty ningefurahi...wakamalizie ny...g zao hukoooo
 
Motamma atoke tu kwanza kama mbibi mbibi kanyweaaaaa sijui anamiaka 40 yule atoke tu angalau awahi kuanua matanga ya babu yake.. Iws suprised ati alikua miss botswana lol..!! Uyo mshindi wa mwisho alikuwaje sasa

Hahhaaaa...kwanza tu ongea yake yanikeraaa...mwingine alikua biguessa bora alitoka no swag kabisa...sasa natasha mbona kama ni mmama sana kama housegal wao jamani...
 

Kuna clip nliiona natasha anamasterbate nlicheka nkasema.kumbe mambo magumu mle ndani nkakumbuka ile siku wako na Biguessa kule sijui rende nini anamwambia lets dance while lookin each other nkasema kusingekua na camera kule wangemalizana wale.. I thnk oneal atapona then baseey atajenga bifu na feza.. Anataka kumwacha feza mpweke
 

Hahahaaaaaa.....natasha ndo strategy yake mi ananikera eti mpaka anaitisha kikao haelewi kama ni game jamani...nando I doubt kama top 5 atafika ....top 5 threat kubwa ni cleo, melvin, oneil, feza na sulu.....sasa feza na oneil wakikosea tu step watatoka...
 

Hata kama huna nia ya kufanya ukiishi mazingira ambayo unaona wenzako kila siku wamekumbatiana unaweza shawishika....Fezza Aache mapenzi alete hela nyimbani bwana
 

Hiyo hata mimi nimeona...sijaamini nilichokiona...ni kwamba hajui camera zinamuangalia au...yani aibu tupu
 

In my opinion mi nafkiri yule sulu hafiki top 5 cz honestly hana mvuto sema tu kule ruby kuna watu wanauweza unafiki shetan mwenyewe anasubiri.. Sulu, kuna lile li angelo, natasha na elikem wale wanajua kuitenda kaz ya shetan ya unafiki afu yule angelo anamsumbua maria angejua kale katoto uwa kanaliogopa mana kanaliona ka lijitu la kale..
 
Hata kama huna nia ya kufanya ukiishi mazingira ambayo unaona wenzako kila siku wamekumbatiana unaweza shawishika....Fezza Aache mapenzi alete hela nyimbani bwana

Mwanamke mwenye akili ya mchezo BBA nzima ni cleo ona hakeem alivokuja na malavidavi yake kifront front alivotulizwa dem ana strategy sana yule na siku akitolewa atalia sana cz akili yake iko kwenye pesa 24 hours hajarelax km kina melvin
 
Feza anajitahidi kujiheshim i like that sio kale kachangu cha ghana.selly uuwiiiii km mlupo mara anamtaka nando mara kamkubalia sullu hata haeleweki

Kweli feza anajiheshimu lakini for how long can she hold it up....unakumbuka ya bhoke....sasa najiuliza kwenye crush wall inaelekea selly akapata kura nyingi...je atamchagua nando au melvin....na je ikiwa maria ndo mwenye kura nyingi atamchagua rasta kweli...
 

Kumbuka karen alishinda na hakuwa na mvuto wowote...sometimes siyo mvuto but kuwa na character ya uchekeshaji ... Watu wanasema sulu is funny kitu ambacho mi sikioni na wala cimpendi ila anapendwa na africa...jamani mwingine ni pokello...mbona mi sioni kama ana mvuto wowote bali uswahili tu umemjaa...elikem ndo nuksi tena atoke haraka sana...natasha angetoka wiki hii kama siyo ya bolt betty na mottama kuwa kwenye nominated
 
Yuko dillish na hakeem...hata cleo

Ila dilish first time ameingia alipata kura mbili km skosei au tatu nahisi kama hapendwi na hivi ana bifu na bolt na hakeem hizo nchi kashakosa.. Hakeem nakubali jamaa alipata kura nying mpka nkashangaa afu kile zimbabwe chenzake kina dharau jaman khaaa kama sio kile kikao cha usuluhishi nahisi pokello na fatima wangezimunja siku mana wote naona kama wako provoked kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…