Prettyliar
Member
- Jun 12, 2013
- 61
- 1
- Thread starter
-
- #41
Mwanamke mwenye akili ya mchezo BBA nzima ni cleo ona hakeem alivokuja na malavidavi yake kifront front alivotulizwa dem ana strategy sana yule na siku akitolewa atalia sana cz akili yake iko kwenye pesa 24 hours hajarelax km kina melvin
Halafu raha ya cleo ni kwamba uzuri anao...akili anayo..yani kwenye tasks ni namba moja yeye na oneal...yani yule ni challenge kubwa sana...feza anatakiwa asiende sana deep na oneal lasivyo atatoka..
Mwanamke mwenye akili ya mchezo BBA nzima ni cleo ona hakeem alivokuja na malavidavi yake kifront front alivotulizwa dem ana strategy sana yule na siku akitolewa atalia sana cz akili yake iko kwenye pesa 24 hours hajarelax km kina melvin
Halafu raha ya cleo ni kwamba uzuri anao...akili anayo..yani kwenye tasks ni namba moja yeye na oneal...yani yule ni challenge kubwa sana...feza anatakiwa asiende sana deep na oneal lasivyo atatoka..
Kumbuka karen alishinda na hakuwa na mvuto wowote...sometimes siyo mvuto but kuwa na character ya uchekeshaji ... Watu wanasema sulu is funny kitu ambacho mi sikioni na wala cimpendi ila anapendwa na africa...jamani mwingine ni pokello...mbona mi sioni kama ana mvuto wowote bali uswahili tu umemjaa...elikem ndo nuksi tena atoke haraka sana...natasha angetoka wiki hii kama siyo ya bolt betty na mottama kuwa kwenye nominated
Pokello anajiona soooo classy babkubwa af ana kashfa ya kucheza picha za x kwao sullu is nat funny tho anapretend to be funny atlist denzel ungesema ni funny.. Siku sullu akiingia nomination akapigiwa kura na africa ndo ntajua wanampenda myself simpend for real jamaa fake akasema hajafuata mapenz nashangaa kamganda selly..!!?????
Kweli pokello anahiyo scandal...mi nakwambia cleo na melvin ni threat sana akili zao zimetulia sana....watu ambao c wafagilii hata kidogo...bolt, natasha, betty, beverly, pokello na mottama...hivi yule baSsey sijui ndo muhindi akiingia kwenye nomination sidhani kama kata survive....mara ya kwanza nikaona kama ana vitabia vya kishoga shoga....nikawa simuelewi....ila naona now ana cop vizuri
In my opinion mi nafkiri yule sulu hafiki top 5 cz honestly hana mvuto sema tu kule ruby kuna watu wanauweza unafiki shetan mwenyewe anasubiri.. Sulu, kuna lile li angelo, natasha na elikem wale wanajua kuitenda kaz ya shetan ya unafiki afu yule angelo anamsumbua maria angejua kale katoto uwa kanaliogopa mana kanaliona ka lijitu la kale..
Ila jaman kule diamond ka Tandale watu wako disorganized sku nyngne hawaogi,walevi maria alitoka ruby so smart na visheria vyke kuja uku nae kawa wale wale tho i like watchn diamond sna myb cz watz wote walikua kule.. Ruby watulivu wakiskia store is open wanaendelea na story kule diamond likitoka hilo tangazo shurti uwe na mbavu.. Libolt linawahi na vibia vya bibie betty
Nimefurahi kuona kuna 'mateja' wa BBA na wafuatiliaji wazuri sana humu. Maana nilikuwa najiuliza kuwa hivi ni mie tu nimekataa kukua? maana niko beyond 35 lakini ninavyofuatilia hadi macho yanauma, but happy moyoni!
Kweli Feza asipoangalia mapenzi yatampoteza maboya. Mchezo ule inabidi uwe very sharp minded na ujue namna ya kubalance mambo.
I hope ataligundua hilo na hata pale shem Oneal anapobana time ili waweze kuwa pamoja na wenzao , asi sulk.
Cleo ni mjanja ila kama pia ana tunyodo flani na mtetaji. nadhani pia ali/nampenda Oneal ndio maana macho yake hayamuangalii vema Feza.
Anyways, pamoja sana na ndo kwaaanza wiki ya nne. Tuendelee kuenjoy for the coming ten weeks.. naisubiriagaje Eviction show ( Shoo Ya Ufukuzwaji, lol)
Hehehe....jamani...maria kamchagua selly waende kwenye rendevous room na selly kamchagua nando....hivi jamani selly na nando wanaendana kweli....au nando anataka tu kumchezea mtoto wa watu since alisema he wants to get laid...
Kuna siku feza alikasirika coz kunasiku alimshtukia oneal anamuangalia sana cleo...mpaka feza akatamani kurudi diamond house...
Feza nae analeta wivu wa kimachame akachkue tuition kwa betty analivumilia lile li baba lake af bolt anatabia ka za LK-4
Hahahaaaa....jamani waniua mbavu eti anamvumilia libaba lake....lk4 alikuwa anataka awe karibu na msauz na mnigeria ila strategy yake ika feli....sasa bolt come sunday....out