betty anawachukia feza na nando. kuna mtu anaeza kuniambia ni kwanini?
Ila jaman kule diamond ka Tandale watu wako disorganized sku nyngne hawaogi,walevi maria alitoka ruby so smart na visheria vyke kuja uku nae kawa wale wale tho i like watchn diamond sna myb cz watz wote walikua kule.. Ruby watulivu wakiskia store is open wanaendelea na story kule diamond likitoka hilo tangazo shurti uwe na mbavu.. Libolt linawahi na vibia vya bibie betty
betty anawachukia feza na nando. kuna mtu anaeza kuniambia ni kwanini?
Iam glad nando na feza wamewin head of the house.... It means wana assurance ya kuendelea kukaa ingawa riki yake inaongeza maadui.....
Hii ni kama nando atasurvive eviction
Daah eti diamond ka tandale,mossad umeua,,,,,my kid thinks nando is a gay but all in all sulu ni anafaa maisha ya ki tandale tandale sio bba,,nikiambiwa a girl to pick for a night,nafunga macho na masikio and all they say about her,itts pokello,,
nando asipotoka itakuwa fresh sana
kupiga kura unakatwa tsh 600. kuna njia nyingine ya kupiga kura zaidi ya hii
Heeeee jamani...libaba BOLT leo limengoroma mpaka limeamsha housemates wengine...hahahahahaha...
Anyone who knows hiyo revelation ya Nando kwa bimp anamuongelea nani? Nafuatilia kweny cm tu far from the screen