RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
Hivi imekaeje hii? Feza Secondary na shule zetu za kata kupewa mtihani mmoja? Wakati Feza Sec inakila kitu, walimu wazuri, vitendea kazi, ni haki kweli? Haya na hili la secondary za serikali kuzidilwa na private litaisha lini? serikali ndo yenye kila kitu, dola, kodi zetu, inazipeleka wapi? hali itaisha lini? Nani tumvishe kengele?