RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
ni sahihi kabisa kwani hata huko vijijini kuna vijana wanapata one,pia feza na tabora boyz kuna tofauti gani...mbona tabora boyz wanafanya vizuri mara kibao
mwanafunzi smart ata kama yuko makorokoroni anatoka tu.
Hivi imekaeje hii? fedha secondary na shule zetu za kata kupewa mtihani mmoja? Wakati fedha sec inakila kitu, walimu wazuri, zitendea kazi, ni haki kweli? Haya na hili la secondary za serikali kuzidilwa na private litaisha lini? serikali ndo yenye kila kitu, dola, kodi zetu, inazipeleka wapi? hari itaisha lini? Nani tumvishe kengere?