Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Jamani kwa majimbo ambayo ni confirmed, tafadhali mwageni data hapa; tutawatumia kwenye simu zao za mkononi ili wajiulize kama amri walopewa ni sawa kuitii au la! Natumai watachanganya na za kwao kisha watachukua uamzi sahihi! Weraaaaaaa Weraaaaa!Haiwasaidii, sis tumeshayajua matokeo!!!
Wanaingiza jeshi mtaani kabla ya Tume kutangaza, ili kudhibiti uchakachuaji...
Matokeo tunayajua Jaji Makame... Acha hizo...
I hope the police are just taking care of the whole situation. I don't think they can act stupidly this time.