Kuntakinte
JF-Expert Member
- May 26, 2007
- 701
- 34
ffu ndio dawa yao,wamechoka kusoma wanafunzi
Ninavyosema sasa hapa kuna waka moto baada ya wanafunzi kuamua kuanzisha maandamano kuelekea kwenye Ofisi za Utawala wa Chuo hapa kwakile wanachopinga Uongozi wa Chuo kuingilia masuala yao wanafunzi hasa walipoamua kusimamisha Uchaguzi wa Viongozi wa DARUSO hapa Chuoni.
Kwa mshangao wa haraka, wanaume naona wameingia na kuanza mikwala ya kutawanya watu.
HABARI ZAIDI BAADAE KIDOGO.
Wewe unafurahia swala la wasomi kupigwa na FFU bila sababu yoyote ile?
Wewe unafurahia swala la wasomi kupigwa na FFU bila sababu yoyote ile?