FFU wenye kofia nyekundu wanapiga mkono usiombe

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu wakuu

Aisee Leo kumetokea tafran baina ya wajeda yaan wanajeshi na askari Wa kutuliza ghasia FFU wenye vikofia vyekundu kichwan

Aisee mkono umetembea sijawah ona, zimepigwa ngumi had zikawa zinawaka moto

Hawa wajeda wanapiga mkono lakin hapa naona Leo wamekwama, dah aisee kuna watu wanarusha ngumi unaweza fumba macho wakati hupigwi wewe.

Ni hapa iringa load

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngosha ni road sio load
 
Nimejaribu kurudia kukusoma ila kichwa kimeanza kuniuma naona sielewi umeandika nini.
Dodoma kuna mtaa waitwa Iringa Road. Sasa kwenye comment yangu ya awali nimejaribu kusema labda mtoa mada anazungumzia sehemu tofauti na unayoijua wewe na mimi sababu kwenye Iringa hakuvuruga matumizi ya R na L
 
Hapana si kweli mdogo wangu nafahamu unamiaka 22 sasa hivyo endelea kukua utabadilika taratibu.
.
Polisi wa kutuliza ghasia hawawezi kupigana na wanajeshi, wewe itakuwa umeona polisi mmoja au wawili wamekorofishana na wanajeshi wa jeshi la wananchi wawili au mmoja wakaamua kumalizana kivyao.
.
Kumbuka JWTZ ni wanavita wanamedani za hali ya juu, ndio maana kuna vikosi tofauti
.
Makomando, hawa ni zaidi ya wote.
MP, hawa ni shikamoo inapokuja swala la kutimiza majukumu yao.
wana anga n.k
 
hao wote walevi tu. huku mtaani kuna watu wanapiga ngumi awe ffu awe mjeda hatii mguu.
 
Write your reply...lazima wajue maana tunapokuwa kikosini kweny mafunzo kila mtu anachukua kitengo chake Kama kuna combat karate, boxer na nk hata hvyo bado ni wachumba washasahau hao kutana na ss kitengo nyeti sio polisi ama magereza kdogo tuendane na Tpdf tuchokoze uone tutakufanya nini ewe raia mwenye kiburi
 
Oya mzazi unamaanisha iringa road ya hapa dom Karibu na polisi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…