Wapenzi wa michezo na wadau wote wa mbio za magari na pikipiki kutokana na ugonjwa wa Corona. Shirikisho linalosimamia michezo ya magari na pikipiki ulimwenguni FIA (Fédération Internationale de l'Automobile) limetangaza kusimamisha mashindano ili kuwakinga washiriki na watazamaji wake.
Hivyo WRC iliyotakiwa kufanyika Argentina mwezi wa 4,haitofanyika.Formula 1,Grand Prix zote, Moto Gp,Nascar,Drifting na Hill Climbing.