Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo