Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sikatai tumeumbwa. Ila kwa ubaya ule kangekuwa kanajisitiri tuwote,wewe na yeye,Mungu kawaumba.
Muislamu huyu hongera zakeMtangazaji wa kipindi cha familia Faiza Ally amesema yupo tayari kupiga picha za utupu endapo mtu anayemtaka kupiga picha hizo atafikia dau analolitaka
Aliyaongea hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Shilawadu Clouds FM kuwa atapewa milioni 6 ili apige picha hizo
Afadhali umuachie Shetani.Namuachia Mungu
Amezaa na kamanda Sugu.