uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Naangalia na kufatilia sana basketball competition inayoendelea china ila najiuliza ni kwa nini team USA ambayo ina mashabiki wengi haina kawaida ya kupeleka wachezaji maarufu kwenye mashindano ya kimataifa na hii ni mara nyingi sana
Mfano kwa sasa hakuna majina kama Stephen Cury, Lebron James ,Haden ,na wengine wengi badala yake ni majina ya kawaida tu!?
Mfano kwa sasa hakuna majina kama Stephen Cury, Lebron James ,Haden ,na wengine wengi badala yake ni majina ya kawaida tu!?