Fid Q afunguka haya baada ya Irene Uwoya kusema anapenda wanaume wenye sura mbaya

Fid Q ni chekibob kimtindo sema hatuongei sana
 
Fid amesema Irene Uwoya anakula mchicha mzuri ndio maana akaweza kuwaona wanaume wagumu kwa jicho lingine, hata hivyo hamedai hana mpango wa kumtokea


Vitu vingine bana!mazungumzo ya mabinti hupaswi kuyashikia kipaza sauti labda tu uwe huna la kufanya
 
Kiukweli toka moyoni wamawake wanaangalia sura, lkn kuna uglyfaces wanampunga balaa, sasa na wao wanataka pesa, wanajiingiza wakionwa wasema ooh wanapenda sura mbaya. Ila wanachokipenda wao wenyewe wanafahamu
 
Hiyo hoja dhaifu mkuu
 
Sura zingine zimekaa "kibandidu" si mchezo.
Astake kuniambia, ana ujasiri kukutana nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…