FID-Q aingia Studio na Chino Kidd7 baada ya kuombwa Collabo ya Amapiano

FID-Q aingia Studio na Chino Kidd7 baada ya kuombwa Collabo ya Amapiano

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
SIku chache baada ya Msanii Chino Kidd7 ambaye ni Dancer wa Nyota wa Bongo Flava, Mario kumuomba Collbo mkali wa Hip Hop, Fid-Q, leo Julai 4, 2023 mastaa hao wamekutana Studio.

Swali ni je, Fid atarekodi style ya Amapiano?

Back
Top Bottom