Fid Q aumwagia sifa wimbo mpya wa Joh Makini

mzaramo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2006
Posts
6,371
Reaction score
5,186
Katika Hali ya kushangaza Mwanza Mwanza Fid Q ameonyesha ukomavu wake kwa kuisifia na kuipiga promo kazi mpya ya Mwamba Joh Makini.

Ni kitu cha kustusha kweli kweli ukizingatia kumekuwa na kile kinachoonekana bifu kwa zaidi ya miaka 10 Kati yao.

Ila siku ya Leo imefungua ukurasa mpya Kati yao na pengine inaweza kupelekea kuja kwa collabo inayosubiriwa zaidi kwenye bongo flava pembeni ya collabo ya Ali Kiba na Diamond.

Mashabiki wapagawa na kuwaomba wafanye collabo au wapige Tour ya pamoja waokote hela zinazowasubiri.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-26-13-08-03.png
    190.8 KB · Views: 98
ama gona lacha ....ama gona lacha.....nanikivuta wayaaaaaaaaaa ujue nimeshajikoki.....na nikivuta wayaaaaaaaaa ujue nimeshajikoki. hili goma kali sana believe me.....
 
Fid q kafanya jambo la maana,
Ila hiyo waya wala si nyimbo kali
Niko pamoja nawe.

Simlaumu Joh kubadilika maana nazikubali ngoma zake Za namna hii Don't bother,Nusu Nusu mpaka perfect Combo nazielewa sana.

Ila humu naona kafanya kawaida mno.Pengine nikiendelea kuisikiliza nitailewa zaidi.
 
John makin had abebwe ndo nyimbo yake watu waijue hongera fidq kwa kumubeba japo kidogo
 
John makin had abebwe ndo nyimbo yake watu waijue hongera fidq kwa kumubeba japo kidogo
Unaamini kuwa Joh anabebwa?!

Mwaka 2005 huko ndio anapenya kwenye mainstream unadhani Joh kaanza kubebwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…