Fid q awaomba radhi wasafi asema alikuwa hajielewi na awezi kuwa kinyume na Clouds media

Maujinga ujinga tu kujifanya yy ndio CCM mara vijana tusidanyanywe nyoko nyoko " inshort Fid q na Mwana Fa ni ma snitch kiwango cha SGR
Me nataka video aliyowatukana wasafi...Hizo ccm unafika kawaida
 
Gari inaangalika na umri bana kwa umri was Fid na safari take ndefu mpaka sasahivi kutokuwa na gari indicator isiotia shaka kwamba hana mafanikio
Fid ni mnafiki sana ukimuona kma ana hekima lkn ni snitch mzoefu kuna maneno flan aliyaongea enzi za kampeni nikamshusha kabisa, ingawa Tale nae kazidi uswahili kwan kua na gari ndio kufanikiwa maisha?
 
Gari ni kipaumbele cha mtu kuna watu hawana hobby nayo una amin Bob marley alikua hana private car alikua akitumia van ya band ya the Wailers?
 
Still gari ni indicator katika umri kwa umri wa 21-28+ kidogo nawengine hadi 30+ ni umri wa kuhaso sana pesa ukipata unaingiza kwenye mzunguuko gari sio muhimu sana ila ukifika kama 40+ still huna gari wewe usilete Sera zako zakujikaririsha gari simafanikio.

Mtu kama Fid kwa alipo fikia sasa asifanganye kwamba eti gari sio mafanikio sema kapoteza kimaisha.

Ya uyo Bob male iyo ni feudal kama feudal wengine.
Gari ni kipaumbele cha mtu kuna watu hawana hobby nayo una amin Bob marley alikua hana private car alikua akitumia van ya band ya the Wailers?
 
You must be poor... Very poor kichwani
 
Utakufa maskini kwa akili yako hiyo utafutaji ujanani matumizi uzeeni sasa ukiendelea kukaa ilo tank lako bila kubadilisha mtazamo itakuwa sio think tank bali tank of water, eti mwenyewe unaongea kabisa your poor very poor kichwani pambana acha fikra za kimaskini utakuja kuwaona wenzio tu umeniuzi ujui then unajifanya mjuaji.
I wish ningekua mjinga... Kwasababu ningekuelewa
 
Sorry pal...

Utakufa maskini and you are very poor it's one and the same thing....

I truly wish ningekua na uelewa mdogo labda ningekuelewa

Besides, I really hope utaishi to realise your full potential and learn Kwamba bado uko nyuma kidooogo ya wakati na hasa kwenye uelewa

Usiache kuhaso... Lakini muhimu zaidi ni Kwamba usiache kujifunza
 
Fid kweli wewe umekua, majibu mazuri kabisa.
Ila usingeumiza kichwa sana nafikiri,maana kumjibu mjinga ni ngumu kukuelewa.
 
Namshangaa anaemshangilia babu tale na kuwaponda clouds, hapa naona ushabiki ndio unaamua mawazo ya watu na sio uhalisia wa mambo.
Yah wasanii inabidi wabaki neutral maana wasichague upande in the long run hata hao WCB inaweza turn out wakawa kama clouds tu maana babu tale na Sallam Sk nao si wale wale tu. So wabaki neutral wapige ela kote kote
 
Sasa ndio umeeleza nini hapa kwaheli baki na water tank lako
 
KUJISTUKIA kama kawaida, mbaya sana. Mwisho yamewatoka wakitegemea fid ni mjinga atalumbana nao wapate kiki. Akili ni muhimu sana.
Akikuonyesha nitag maana hakuna alipotaja jina yani ukisikia hiyo clip na kinachoongelewa utashangaa
 
Na watu wanaotegemewa kuwa Sauti ya Wananchi na kioo cha jamii kuwa Masnitch na Wanafiki ni Wabaya sana.


Kumbe Fid Q hovyo tu naye.
Maujinga ujinga tu kujifanya yy ndio CCM mara vijana tusidanyanywe nyoko nyoko " inshort Fid q na Mwana Fa ni ma snitch kiwango cha SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…