Michael Paul JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 403 Reaction score 319 Aug 3, 2011 #1 EAST AFRICA HERALD: Fid Q: Bongo Hip Hop saviour
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,386 Aug 3, 2011 #2 I LOVE the article but I have never heard of the guy....
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,646 Aug 7, 2011 #3 Huyo ndo fid q bana a.k.a ngosha dah kwa mala ya mwisho nilimuona shinyanga ktk tamasha la fiesta.jamaa namkubari sana hasa mashairi yake na vina duh!! Asante mtoa link. Ngoja niludi ktk hiyo blog nikamsome tena huyu ngosha.
Huyo ndo fid q bana a.k.a ngosha dah kwa mala ya mwisho nilimuona shinyanga ktk tamasha la fiesta.jamaa namkubari sana hasa mashairi yake na vina duh!! Asante mtoa link. Ngoja niludi ktk hiyo blog nikamsome tena huyu ngosha.
DSN JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 2,837 Reaction score 1,679 Aug 7, 2011 #4 Naomba kujua mbona yuko karibu na Mzee Zahir baba ya Banana.Ukimtizma Mzee yule wanafana na FiD Q,isije kuwa ni Baba na Mwana au?Nisaidieni.
Naomba kujua mbona yuko karibu na Mzee Zahir baba ya Banana.Ukimtizma Mzee yule wanafana na FiD Q,isije kuwa ni Baba na Mwana au?Nisaidieni.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Aug 7, 2011 #5 ila jamaa anapanch za maana lakini asipoangalia ntamvua uprofesa wa kitaalojia...