Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Fid Q mziki wake ni BIG G.
Fid Q mziki wake ni BIG G.
mimi nina album zake mbili "Vina Kati Mwanzo na Mwisho" na "Propaganda". Pia nina album ya Ngwear na mpaka leo nazisikiliza napopata nafasi.
Naomba unitajie nani mziki wake sio big g kati ya wasanii wa bongo fleva.
Fid Q mziki wake ni BIG G.
Unakazi sana kujua mziki anaofanya farid kubanda ..
Endelea kumsikiliza timbulo!
unakazi sana kujua mziki anaofanya farid kubanda ..
Endelea kumsikiliza timbulo!
Fid Q mziki wake ni BIG G.
Hahahah nadhani humjui fid vizuri.. Bongo hiphop bado ni wimbo wa taifa kwa sasa
Huyo ngosha apunguze mapozi sawa anaandika mistari mikali ila ananata sana kiuhalisia.
Ana mwonekano wa hiphop ila moyoni u jux umemtawala. Vinginevyo Weuuuuusiiiiiiii tutazizoa sana hizo tunzo kudadeki