Fid Q chukua tahadhari, umeshuka sana kimuziki

Hakuna kama Fidq kwa hip hop, yani napata uchungu sna kuona mtu anamfananisha Fid q na Joe Makini, pliz mpeni Fid heshima yake, yani hata kuwafananisha ni dhambi kubwa sna
 
Hata ngoma mpya na ya mwisho aliyoitowa .. haijavutia ... ajiangalie tena.... Joh kashamuacha saana.
 
Siku hizi wanaochana hawajiiti KONSHAZI/
Bali ni NGOSHAZi/
 
Last edited by a moderator:
Hamjui music nyie labda bolingo sio hip hop, fid q haja wahi kuchuja toka ameanza game bro
 
Maboya hawajui music hasa hip hop wana fananisha na bolingo
Hakuna kama Fidq kwa hip hop, yani napata uchungu sna kuona mtu anamfananisha Fid q na Joe Makini, pliz mpeni Fid heshima yake, yani hata kuwafananisha ni dhambi kubwa sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…