Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Aiseee nimemshangaaa Fid q,Kwa Ali kiba nilitegemea hilo.
Ivi ni kweli unaamini waliondoka coz of konde boy au tayari walikuwa na ratiba zao labda za kwenda kugawa chakula si ulikuwa muda wa chakula ule
 
aiseee...hii nchi masinema kila kona
japo sijaelewa pia mantiki ya jamaa kuvaa suti
Hao watu wanapenda sana attentions za watu afu hawaangalii mahali pa kutafuta izi maatentions adi misibani
 
Fid q ana stress halafu ni mjinga flani na mshamba wa mwanza
 
Jamaa wanawaonaga wasanii wa WCB ni watakatifu na yyte aliye tofauti nao ndo mwenye makosa,chuki,wivu,mshamba,roho mbaya na kila sifa mbaya TUONDOLEENI UPUUZI WENU msilazimishe kila mtu ayachukulie mambo kwa namna mmnavyochukulia nyie..NB KUCHELEWA MISIBANI NAONA UMEKUWA UTARATIBU PALE WCB nadhan hilo ndo la kuandikia.
 
Ndo akili za wana WCB wote wanaamini hivyo Hahahahahahaaaa
 
Hvi hao ni mabodyguard au show off, hata mie ningekuwa Kiba ningesepa, mnapiga zenu story mtu anakuja na mabodyguard kibao anavuruga hali ya hewa kila kitu, vumbi, makelele na kila aina ya ghasia..aah kero sana
 

Ishu sio kuuliwa tuu, kuna usumbufu wa kuvutwa vutwa na kuibiwa, kama diamond platnumz anavaa vito vya thamani zaidi ya milioni 150, kwa nini asitembee na walinzi

Harmonize ni mkubwa kuliko ali kiba kwa sasa, kuanzia hela mpaka nyimbo, Ali tumuache na u legendary tuu
 
Hadi urefu sa hivi Harmonize kamzidi Ali kiba #MJINGA MPE CHEO
 
Mleta mada ni mwehu. Badala ya kukosoa huyo msafi mwenzako kwenda msibani na bodigadi tena na marangi rangi kichwani huku kavaa suti ya disco. Unaleta kelele za fid sijui kiba. Huo ni wenu.
 
Anashuka kwako lakini kwetu bado yuko juuu zaidia juuu kabisa
Ingekua mimi na wewe ndio tunaamua you sahihi;ila ukiangalia realistic huyo bishoo wenu anapoteza,kama Mmakonde anatapisha uwanja Southern Sudan alafu yeye hana uwezo huo,ni takataka
 
Ingekua mimi na wewe ndio tunaamua you sahihi;ila ukiangalia realistic huyo bishoo wenu anapoteza,kama Mmakonde anatapisha uwanja Southern Sudan alafu yeye hana uwezo huo,ni takataka
hahahahaaaaa so ni kwa kujaza tu southSudan ndo ghafla kawa mkubwa kuliko kiba acheni ujinga nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…