wamefanya kumpa tu kutoa lawama,maana umri wake unaenda alistahili hii tuzo kitambo si sasa
wamefanya kumpa tu kutoa lawama,maana umri wake unaenda alistahili hii tuzo kitambo si sasa
Napenda sana hip hop, ila nyimbo za FidQ mara nyingi sizielawagi.
wamefanya kumpa tu kutoa lawama,maana umri wake unaenda alistahili hii tuzo kitambo si sasa
Mbona Alishapata hizo Tuzo.
Nyimbo za Fareed zinatungwa kwa ajili ya wale wanaotumia vichwa vyao Kufikiri,Wanaotumia kufugia nywele huwa hawamuelewi.
namashaka kama mnaelewa maana ya hiphop. HipHop ni utamaduni au ni jumba ambalo limebebwa na nguzo bila hizo nguzo linaanguka. mfano wa nguzo hizo ni freestyle, graphics, Rap, breakdance na nyingine nyingi , KRS ONE KAZITAJA NYINGI TU. acha tano zinazofahamika.
sasa unaposema Joh hafanyi Hiphop anafanya Rap, unakosea, kwasababu Rap( kugani) imo ndani ya HipHop ni moja ya nguzo ya HipHop tofauti ni kwamba Joh makini anafanya soft Rap( Rap laini) kama wanazofanya wakina Puffdaddy, lily wayne n.k
Fid Q, anafanya hardcore HipHop kama wanazofanya wakina Nas, Talib kweli, Canibus, Immotal Techniques n.k
Mcee. huyu ayejiita the Mcee ndio anabeba maana halisi ya HipHop, kwanza nyimbo zake lazima ziwe za ujumbe na sio mashauzi wala maringo, wala kujigamba gamba hovyo. lakini pia lazima rap style yake iwe kidogo more insisting. lazima ukaze maneno na msisitizo ili ujumbe ufike kwa uhakika zaidi. sisemi usipokaza maneno ujumbe haufiki, lah lakini hautafika kwa msisitizo tofauti na ungekaza maneno.
mtizamo tu.
Hujui kitu mkuu, hujui hip hop. U much know ndiyo umekukaa kwenye akili yako. Fid q kapewa tu kwa sababu walimbania miaka ya nyuma. Lakini uhalisia fid q hakustahili hata category.
Napenda sana hip hop, ila nyimbo za FidQ mara nyingi sizielawagi.
Naomba unipe somo kidogo. FidQ kawa msanii bora hiphop wa mwaka 2013/2014 kwa wimbo wake wa "i am a professional", au sio.. Lakini huu wimbo mbona sio wa huu mwaka, infact niwa kitambo kidogo?
Au mimi ndo sielewi mambo haya? Cc Money Stunna
Ukweli lazima usemwe amezidi deko.
namashaka kama mnaelewa maana ya hiphop. HipHop ni utamaduni au ni jumba ambalo limebebwa na nguzo bila hizo nguzo linaanguka. mfano wa nguzo hizo ni freestyle, graphics, Rap, breakdance na nyingine nyingi , KRS ONE KAZITAJA NYINGI TU. acha tano zinazofahamika.
sasa unaposema Joh hafanyi Hiphop anafanya Rap, unakosea, kwasababu Rap( kugani) imo ndani ya HipHop ni moja ya nguzo ya HipHop tofauti ni kwamba Joh makini anafanya soft Rap( Rap laini) kama wanazofanya wakina Puffdaddy, lily wayne n.k
Fid Q, anafanya hardcore HipHop kama wanazofanya wakina Nas, Talib kweli, Canibus, Immotal Techniques n.k
Mcee. huyu ayejiita the Mcee ndio anabeba maana halisi ya HipHop, kwanza nyimbo zake lazima ziwe za ujumbe na sio mashauzi wala maringo, wala kujigamba gamba hovyo. lakini pia lazima rap style yake iwe kidogo more insisting. lazima ukaze maneno na msisitizo ili ujumbe ufike kwa uhakika zaidi. sisemi usipokaza maneno ujumbe haufiki, lah lakini hautafika kwa msisitizo tofauti na ungekaza maneno.
mtizamo tu.
Wimbo uliomfanya Fid Q aingie kwenye tuzo ni Siri ya Mchezo feat Juma Nature.. Ile I'm Professional ilikuwa ni kionjo tu kilichowekwa wakati anatajwa mshindi wa Msanii Bora wa Hip Hop na Mtunzi Bora. Angeshinda wimbo bora wa Hip Hop wangeweka ule uliomfanya akaingia kwenye category.
Hujui kitu mkuu, hujui hip hop. U much know ndiyo umekukaa kwenye akili yako. Fid q kapewa tu kwa sababu walimbania miaka ya nyuma. Lakini uhalisia fid q hakustahili hata category.
We ndio hujui kitu John makin ana rapa kama akina Ally choki au marapa wengine wa kwenye sebene,kama hujui kitu omba watalaam wakujuze.
Wewe umeongea point, wengi humu wanaleta mapenzi tu na sio kwa kuangalia Fid Q kafanya nini 2013. Sio kwamba simkubali Fid Q namkubali sana. Inaezekana nikawa namsikiliza na kumuelewa sana kuliko hata nyie mnaokataa ukweli kisa mnamkubali Fid laki ukweli lazima usemwa. Fid Q ni msanii bora wa Hip Hop tanzania kwa miaka 5 ya nyuma kwa ujumla, lakini kwa mwaka 2013 hakufanya kitu bora ambacho kinamfanya awe msanii bora kwa mwaka huo. Wengi wamempigia kura Fid Q kama msanii bora wa Hip Hop bila kuangalia mwaka.
Mkuu Jide kwa sasa naanza kumfananisha na Chama flani cha siasa hapa nchini ambacho kila siku kinahisi kinahujumiwa tuu na hata kinapotenda makosa ya wazi kabisa huwa kinakimbilia kusema kinahujumiwa na wafuasi wake wengi wamerithi hiyo tabia Mda wote wanajiona wako sawa na wote walio na mawazo tofauti na wao wanaonekana si lolote
BACK TO THE TOPIC
Jide naye amelewa na Sapoti anayopewa na mashabiki anajiona sasa anaweza akafanya lolote na akaendelea kupata Sapoti kama awali Mimi Nakumbuka mwaka jana Jide hakuhudhuria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo Lakini kwenye matamasha yaliyooandaliwa kwa ajili ya washindi wa KTMA hakukosa show hata moja hapa kuna nini¿¿¿
huyo demu wa ruge ndo aliyempa hizo tuzo?anayesimamia shughuli na event ya utoaji tuzo ni demu wa ruge ...aliyesimamia matamasha ya kili baada ya tuzo ni east africa...nafikiri ukitumia akili unaweza kuelewa.