Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Yupi mkali wa hip hop hapa bongo?
Kuanzia aina ya ghani (styles), mashairi (lyrics) na ryhmes?
Kuanzia aina ya ghani (styles), mashairi (lyrics) na ryhmes?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
joe ni mkali......sema approach yake kwenye muzic hamsadii sana zaidi ya kunyakua matuzo ya kili n.k, meneja wake inaonekana kilaza sana, hajawahi hata kumtafutia show outside country kama kwa wengine U.S , U.K nk,na ndio maana smtm utamkuta Joe anauza mitumba maeneo, na mambo mengine, ila kwa mistari jamaa ni mkali na wasanii wengi wanapata reference toka kwake kwamba ''HIP-HOP HAPA BONGO HAILIPI''.
Hii ni kama kuku na yai nani alitangulia?
Hujui yai hutangwa na kuku. Hiyo ni loop ambayo inaanzia kwa kukuHii ni kama kuku na yai nani alitangulia?
Nani ni kuku na nani ni yai??
kati ya hao hamna anayemfikia J Mo.
Sema radio stations zinambania sana.
kati ya hao hamna anayemfikia J Mo.
Sema radio stations zinambania sana.