Wakuu nipo naangalia taarifa ya habari citizen tv ya kenya naona imeanza kwa mbwembwe za hatari coz fid yupo ndan ya mjengo na kachana ngoma ya cnn aliyoshirikishwa na marehemu ngwair...rip cowboy
Mkuu, main point hapa ni ipi?
kamuona Fid Q laivu
kamuona Fid Q laivu
Ni kueleweka kwa sanaa ya hip hop music wa tz kwa mataifa ya nje na ndicho kilichomfnya awe hapo na sio ww uliekaa hapo kweny keyboard kazi kuuliza maswali uliyo na majibu yake
Haaaaaaa kwahiyo hapo kamuona laivu lol
Kwa kuwa ndo mara ya kwanza?