Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mwaka 1965 Fidel Castor na Che Guevara waliingia katika ardhi ya Tanzania, walifikia katika ubalozi wa Cuba mtaa wa Lugalo Upanga. Wakiwa na maofisa wa ubalozi wao.
Dhamira ya safari yao ilikuwa kupanga mipango ya ukombozi na ki mapinduzi kusini mwa Afrika. Inasadikika Che Guevara alibakia kwa miezi mitatu nchini akiwa na vitambulisho bandia.
Viongozi wa Frelimo walikuja na kukutana na Che Guevara. Baada ya hapo alielekea Bolivia.