Maisha ni mafupi na thamani yake ni kutumikia watu bila kudai fidia. Na kwa njia hiyo utaishi hata baada ya kifo chako.
Majamaa yalikuwa mahendisam balaa!View attachment 1053299
Mwaka 1965 Fidel Castor na Che Guevara waliingia katika ardhi ya Tanzania, walifikia katika ubalozi wa Cuba mtaa wa Lugalo Upanga. Wakiwa na maofisa wa ubalozi wao.
Dhamira ya safari yao ilikuwa kupanga mipango ya ukombozi na ki mapinduzi kusini mwa Afrika. Inasadikika Che Guevara alibakia kwa miezi mitatu mchini akiwa na vitambulisho bandia.
Viongozi wa Frelimo walikuja na kukutana na Che Guevara. Baada ya hapo alielekea Bolivia.
Dah Bolivia ndo wakamuua mtaalam Che guevara ila hao wanaume wanatishaView attachment 1053299
Mwaka 1965 Fidel Castor na Che Guevara waliingia katika ardhi ya Tanzania, walifikia katika ubalozi wa Cuba mtaa wa Lugalo Upanga. Wakiwa na maofisa wa ubalozi wao.
Dhamira ya safari yao ilikuwa kupanga mipango ya ukombozi na ki mapinduzi kusini mwa Afrika. Inasadikika Che Guevara alibakia kwa miezi mitatu mchini akiwa na vitambulisho bandia.
Viongozi wa Frelimo walikuja na kukutana na Che Guevara. Baada ya hapo alielekea Bolivia.
Hakika dada hao watu ni true definition of uzalendo, ni wazalendo kwlkwl nmesoma history ya Che guevara wikipedia jamaa kazunguka nchi sana na kapinga sana masuala ya kutawaliwa kizembe me kwng nawapa KONGOLE YENYE NYOTA 5Wametuachia mafunzo mengi sana, mojawapo ni self confidence is a greater weapon above all.
Ninadhani Che Guevara angeona utajiri waliojipatia viongozi kwa kupitia imani ya Ujamaa angeumia sana.Hakika dada hao watu ni true definition of uzalendo, ni wazalendo kwlkwl nmesoma history ya Che guevara wikipedia jamaa kazunguka nchi sana na kapinga sana masuala ya kutawaliwa kizembe me kwng nawapa KONGOLE YENYE NYOTA 5
HakikaNinadhani Che Guevara angeona utajiri waliojipatia viongozi kwa kupitia imani ya Ujamaa angeumia sana.
Viongozi kama hawa sijui kama unaweza kuwapata miaka hii ya sasa. Mambo ya demokrasia japo ni mazuri lakini kwa Afrika nadhani yamekuwa na negative impact kwani uchaguzi unakuwa kama kiini macho cha kuwaingiza wanasiasa matapeli Ikulu. Zamani viongozi kama hawa walikuwa wanajitokeza na kupendwa kwa sababu ya juhudi zao binafsi. BTW Magufuli alipokuwa anatajwa kama anafaa kuongoza baada ya Kikwete kipindi hicho nilikuwa sijamjua vizuri na nilikuwa namfananisha na viongozi wazalendo kama hawa wakina Castro. Japo Magufuli alikuwa na elements za uzalendo na kujiamini sana lakini naona ukosefu wa upeo wa akili, elimu yake ya magumashi na kukosa ustaarabu kulimfanya awe tofauti kabisa.Hakika dada hao watu ni true definition of uzalendo, ni wazalendo kwlkwl nmesoma history ya Che guevara wikipedia jamaa kazunguka nchi sana na kapinga sana masuala ya kutawaliwa kizembe me kwng nawapa KONGOLE YENYE NYOTA 5
sky Eclat, get your history correct, Fidel Castro hakuwahi kuja Tanzania, 1965.View attachment 1053299
Mwaka 1965 Fidel Castor na Che Guevara waliingia katika ardhi ya Tanzania, walifikia katika ubalozi wa Cuba mtaa wa Lugalo Upanga. Wakiwa na maofisa wa ubalozi wao.
Dhamira ya safari yao ilikuwa kupanga mipango ya ukombozi na ki mapinduzi kusini mwa Afrika. Inasadikika Che Guevara alibakia kwa miezi mitatu nchini akiwa na vitambulisho bandia.
Viongozi wa Frelimo walikuja na kukutana na Che Guevara. Baada ya hapo alielekea Bolivia.
Tanzania kidogo magufuli alikuwa na elements nying sana za uzalendo kwa taifaViongozi kama hawa sijui kama unaweza kuwapata miaka hii ya sasa. Mambo ya demokrasia japo ni mazuri lakini kwa Afrika nadhani yamekuwa na negative impact kwani uchaguzi unakuwa kama kiini macho cha kuwaingiza wanasiasa matapeli Ikulu. Zamani viongozi kama hawa walikuwa wanajitokeza na kupendwa kwa sababu ya juhudi zao binafsi. BTW Magufuli alipokuwa anatajwa kama anafaa kuongoza baada ya Kikwete kipindi hicho nilikuwa sijamjua vizuri na nilikuwa namfananisha na viongozi wazalendo kama hawa wakina Castro. Japo Magufuli alikuwa na elements za uzalendo na kujiamini sana lakini naona ukosefu wa upeo wa akili, elimu yake ya magumashi na kukosa ustaarabu kulimfanya awe tofauti kabisa.