Fiderine Iranga is Back...

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415




Yes! Nice to see you here strong,helthier and confident, keep it going up.

Maisha lazima yaendelee.

Hii sio movie its ur really life.

I am happy for you.
 

Attachments

  • fidee.jpg
    34.6 KB · Views: 3,573
  • fideeee.jpg
    38.1 KB · Views: 3,577
Nahitaji mkalimani hapa, baack ndio nini? na kama ni back from where and what she is doing?
 
Aisee ni nin shda hzo make up jaman?sijaelewa,kajipaka,kapakwa?kulikua na giza?
Ngoja nipite tu
 
Hilo domo vipi, !!si bora angevaa nguo ndefu mwili mbayaa lol
 
rangi ya uso, mati.ti, magoti, hipsi, mikono na lips ni tofauti tofauti...!

tatizo ni camera man ama nani?
 
Duh! naona afya imerudi kisawasawa.Kuna uzi humu wenye picha yake kipindi akiwa mgonjwa.

Safi.tunamuombea afya tele.
 
Alikuaga anaumwaa tena,si ndio huyu kaolewa na mzungu au sio yeye basi wanafanana,halaf maswala kuwekeana kikwapa chenyewr cheusi hakilingan na mwilo lol mi ningemtoapo ka mkono ka kikwapa kale
 
Iko shidaaaa hpo au amekula baking powder nini yan mwili kibanda
 
Huyu mtu huwa akiweka marangi kwenye lips anakuwa kama mpoki sijui hana washauri...
 
Huyu mtu huwa akiweka marangi kwenye lips anakuwa kama mpoki sijui hana washauri...
Hahaha kweli kabisa na bora mpoki mwenzie anaigiza mwenzetu ye anapenda tu...i doubt kama anakioo
 
Huyu demu kwa kweli huwa hanivutii kbs I don't know why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…