Dah hiyo make up usoni imenikumbusha sura ya "The joker" Dark knight, Batman
"Why so serious? Lets put a smile on that face!"
alikuwahivi enzi hizo....sa hivi mwili umerudi tena
alipopunngua mwili watu walisema anaanya diet, wengine wakadai alikuwa anafunga kwaresma.. leo nimesikia story nyinginendo mujue Ukimwi is no longer a life time death sentence...halo haloooooooo
ank kidevu upoooooo??
Mhhhhhhhhhhhhhhh
ndo mujue Ukimwi is no longer a life time death sentence...halo haloooooooo
kumpimaje? iko broad mkuu😕Kuna mtu aliyempima humu ndani?
Nahitaji mkalimani hapa, baack ndio nini? na kama ni back from where and what she is doing?
Halaf anafanana na Mbutananga sijui ni ndugu,anatakiwa asijipodoe huyu na mbuta wake yaan kanitisha najuta kumuona maana ntaota vibayaa
mbuta nanga ndo yule wa uk kavimba kama chura? huyu kafanana sana na mpoki
Kuna mtu aliyempima humu ndani?
Hahahaha! Make up zikizidi unakuwa kichekesho ila mwenyewe unakuwa unaona umefunikaaisee mkuu..thats not fair...
Hahahahaha!Halaf anafanana na Mbutananga sijui ni ndugu,anatakiwa asijipodoe huyu na mbuta wake yaan kanitisha najuta kumuona maana ntaota vibayaa
Mbona anasura mbaya hivi??
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Muulize aliemuumba sijui alikua na kisa nae!!!!!
sio kila kitu tumsingizie Mungu