Ukilipwa mkuu usinisahau mnadani,nyama za mbuzi mkuu!Habari za jioni.
Kwa wanaohusika na malipo ya fidia ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato -Dodoma mtatulipa lini fidia hiyo miaka inakwenda ardhi na vilivyomo havituzalishii toka mlipohakiki mara ya kwanza mwaka 2018 ni miaka mitatu,
Sasa je, mtaongeza kiwango cha fidia au ndo mtatulipa senti kwa thamani ya mwaka 2018?
Ni kweli wagogo mtaenjoyPatapendeza sana hukoo
Mim sio mgogo akiiNi kweli wagogo mtaenjoy
Kwa mujibu wa AFDB, deadline ni 2024...Kumbe uwanja wa ndege Msalato haujaanza kujengwa?
Nilijua tunasuniri kuufungua tuu