Fidia ya ardhi sheria inasemajel?

SHIJA K.

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
21
Naomba msaada wa sheria, kuna ujenzi w brbr wilaya ya nzega, waliorodhesha miti,ukubwa wa eneo wa brbr itpit. miezi sita htujalipwa hy fidia, juzi wmetumia viongozi w kijiji wawash wishi wakubri brbr itengenezwe fidia baadae wananch wmegom.. je srheri ihasemsje. JE NI KWELI PES HAZIPO AU NI WIZI TU, NA MITA SKWEA MOJA NI SH. NGP,
 
Ni kinyume na sheria kuhamisha mali au mtu kabla ya kulipwa akaridhika. Riba lazma ilipwe kama 6 month imepita. Compound interest not simple. Msikubali na mtakuwa sawa kisheria. Nzega sqm ni shs 1500 hadi 2000: uliza kama una jingine.
 
Asante.je vifungu hvy vya sheria waweza kunidadavulia ili niwalime barua nikiviambatanisha navifungu hvy?
 
Mkuu nikuhakikishie kuwa kama eneo lako limetwaliwa kwa manufaa ya umma utalipwa fidia (full, fair and prompt compensation) kwa mujibu wa sheria za ardhi za 1999 na kwa mujibu wa sheria ya kutwaa ardhi ya 1967. Swala la viwango vya dhamani unayotakiwa kufidiwa kwa miti itategemea na idadi, kiwango cha ukuaji na thamani ya soko ya miti hiyo kipindi uthamini ulipofanyika na hata kwa eneo vivyo hivyo utafidiwa kulingana na ukubwa wa ardhi yako na thamani ya soko ya mita moja ya ardhi (hii hutegemea sana na eneo ardhi k.v sehemu gani hasa ya Nzega) kama ilivyokuwa siku uthamini unafanyika. Malipo lazima yatalipwa yakicheleweshwa utalipwa na riba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…